iqna

IQNA

Mbinu ya Elimu ya Manabii
Mbinu ya Elimu ya Manabii /39
IQNA - Kufanya makosa, hata madogo, kunaweza kuzuia maendeleo ya mtu na mojawapo ya njia bora za kupunguza uwezekano wa kufanya makosa ni kushauriana.
Habari ID: 3478033    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/14

Mbinu ya Elimu ya Manabii; Nuhu/36
TEHRAN (IQNA) – Kama ilivyo katika nyanja nyingine nyingi, kudumisha uendelevu na uthabiti ni muhimu sana kwa mafanikio katika nyanja ya elimu.
Habari ID: 3477927    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/22

Mbinu ya Elimu ya Manabii; Nabii Nuhu / 35
TEHRAN (IQNA) – Ingawa idadi ya mbinu za kielimu zinazong’aa kama nyota za kuwaongoza watu hazina kikomo, njia ya wema na huruma imeangaziwa zaidi kuliko mbinu zingine zote.
Habari ID: 3477898    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/15

Mbinu ya Elimu ya Manabii; Nabii Nuhu / 34
TEHRAN (IQNA) – Pamoja na mwili wao, wanadamu wana sifa za ndani ambazo zina jukumu kubwa katika ukuaji na harakati zao kwenye njia ya ukamilifu.
Habari ID: 3477840    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/04

TEHRAN (IQNA) – Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema na Mwenye kurehemu, ametupa baraka zisizo na idadi lakini hatuzikumbuki wala hatuzichukulii kwa sababu ya uzembe.
Habari ID: 3477753    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/18

TEHRAN (IQNA) – Walipokabiliwa na watu waliokuwa na ukaidi na kukataa kuukubali ukweli hata iweje, Mitume wa Mwenyezi Mungu walitumia njia ya kujibu kwa namna fulani ili ukaidi na kiburi cha watu hawa kiweze kuvunjwa na kuzinduka roho zao.
Habari ID: 3477736    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/15

TEHRAN (IQNA) - Zaka ni wajibu wa kidini kwa Waislamu ambao wanakidhi vigezo muhimu vya kuchangia sehemu fulani ya baadhi ya mali zao.
Habari ID: 3477720    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/12

Mbinu ya Elimu ya Manabii; Musa /28
TEHRAN (IQNA) – Moja ya mbinu alizotumia Nabii Musa (AS) katika kuwaelimisha watu wake ni Indhar na Tabshir.
Habari ID: 3477582    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/11

Mbinu ya Elimu ya Manabii; Musa /27
TEHRAN (IQNA) – Jinsi watu wanavyopata mafunzo kutokana na matokeo ya matendo yao ina ushawishi mkubwa juu ya elimu ya binadamu.
Habari ID: 3477547    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/04

Mbinu ya Elimu ya Manabii; Musa / 26
TEHRAN (IQNA) - Chanzo kikuu cha nishati kwa wanadamu ni ukarimu, upendo na wema. Ni chanzo kisichoisha na hakuna kinachokitishia.
Habari ID: 3477535    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/02

Mbinu ya Elimu ya Manabii; Musa / 24
TEHRAN (IQNA) – Adl (haki) imefafanuliwa kuwa ni kuweka kila kitu mahali pake panapostahiki. Aidha ifahamike kuwa kila jinai, iwe dogo au kubwa, ni matokeo ya ukosefu wa haki.
Habari ID: 3477505    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/27

Mbinu ya Elimu ya Manabii; Musa/ 23
TEHRAN (IQNA)- Njia ya kielimu yenye ufanisi zaidi ni ile inayomtia moyo mtu kutoka ndani kuelekea kwenye wema na kujiepusha na maovu.
Habari ID: 3477500    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/26

Mbinu ya Elimu ya Manabii; Musa / 22
TEHRAN (IQNA) – Watu jasiri na wale ambao hawaogopi nguvu za wengine wamesifiwa kila mara katika historia.
Habari ID: 3477472    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/21

Mbinu ya Elimu ya Manabii; Musa / 21
TEHRAN (IQNA) - Kusamehe na kusamehe dhambi au makosa ya mtu licha ya kuwa na uwezo wa kulipiza kisasi ni sira au sera ya manabii na watu wema.
Habari ID: 3477461    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/19

Mbinu ya Elimu ya Manabii; Musa /20
TEHRAN (IQNA) – Wengi wa watu waliotajwa ndani ya Qur'ani Tukufu na kuhusishwa na adhabu walipata adhabu ya Mwenyezi Mungu kwa kutenda dhambi au kufanya mambo maovu.
Habari ID: 3477436    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/14

Mbinu ya Elimu ya Manabii; Musa /19
TEHRAN (IQNA) – Kuonyesha miujiza ni miongoni mwa uwezo maalum wa manabii wa Mwenyezi Mungu ambao una muelekezo wa kuelimisha au mafunzo.
Habari ID: 3477425    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/12

Mbinu ya Elimu ya Manabii; Musa/18
TEHRAN (IQNA) – Musa (AS), ambaye alikuwa nabii ni Ulul Adhm yaani ni miongoni wajumbe wa Mwenyezi Mungu ambaye jina lake limetajwa katika aya nyingi za Qur'ani Tukufu, alitumia njia ya muhimu ya kuwaelimisha Bani Isra’il ambapo watu huwekwa katika hali fulani ili utayari wao wa kuendelea na njia uweze kutathminiwa.
Habari ID: 3477399    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/08

Mbinu ya Elimu ya Manabii; Musa / 17
TEHRAN (IQNA) – Nabii Musa (AS), ambaye alikuwa miongoni mwa Ulul'azm Anbiya (Manabii Wakuu), alitumia njia ya kujibu maswali ili kufundisha watu binafsi na makundi mbalimbali ya watu.
Habari ID: 3477388    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/06

Mbinu ya Elimu ya Manabii; Musa/16
TEHRAN (IQNA) – Katika historia, tangu Mtume wa kwanza wa Mwenyezi Mungu alipokanyaga ardhini, hakuna mtu ambaye ameweza kuwaelimisha watu katika ngazi ya mtu binafsi na ya kijamii bora kuliko Mitume na Maimamu watoharifu wa nyumba ya Mtume Muhammad (SAW).
Habari ID: 3477337    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/25

Mbinu ya Elimu ya Manabii; Musa / 15
TEHRAN (IQNA) – Kimsingi, mtu hawezi kuwa na mahusiano mazuri na ya kirafiki na watu wote. Hata mtu awe mzuri kiasi gani, atakuwa na maadui.
Habari ID: 3477326    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/23